Mark 14:65

65 aKisha baadhi ya watu wakaanza kumtemea mate; wakamfunga kitambaa machoni, wakampiga kwa ngumi na kumwambia, “Tabiri!” Walinzi wakamchukua na kumpiga makofi.

Petro Amkana Isa

(Mathayo 26:69-75; Luka 22:56-62; Yohana 18:15-18, 25-27)

Copyright information for SwhKC